Lyrics

Hadithi hadithi njoo Oooh Hadithi njoo, hadithi Hadithi njoo Njoo Oooh Kuna bwana mmoja wa kichaa alipenda kuomba chakula kwa (Mama Fulani)2 Oh oh ooh Siku moja yule mama alipanga amtilie Sumu Yule wazimu akila afe Aondoke kabisa ah Kule njiani alipatana na watoto wa Yule mama Akawangawanyia kile chakula aah Watoto wake wakala wakafa Yule wazimu akabaki mzima ishara kwamba unayoyatenda Unajitendea mwenyewe Watoto wake wakala wakafa Yule wazimu akabaki mzima ishara kwamba unayoyatenda Unajitendea mwenyewe Ukitenda mema Unajitendea mwenyewe Ukitenda maovu unajitendea mwenyewe Ukitenda mema Unajitendea mwenyewe Ukitenda maovu unajitendea mwenyewe eeh Salimia watu pesa huisha Gari hupata puncture, Hivi ni vitu vya dunia Oh oh ooh Hichi kidole nachowanyoshea watu Vingine vinne ninajinyoshea mwenyewe Aah Hichi kidole nachowanyoshea watu Vingine vinne ninajinyoshea mwenyewe Aah Naozungumza nao juu ya Wenzangu Ah ah aah Wanazungumza nao juu yangu mimi Naozungumza nao juu ya Wengine jamani Oo oo ooh Wanazungumza nao juu yangu miimi Tenda mema Ondoka uende Alo' na chuki na wewe Mpende Kwa sababu unayoyatenda Unajitendea mwenyewe Tenda mema Ondoka uende Alo' na chuki na wewe Mpende Kwa sababu unayoyatenda Unajitendea mwenyewe Eh eei Ukitenda mema Unajitendea mwenyewe eh Ukitenda maovu Unajitendea mwenyewe eh Ukitenda mema Unajitendea mwenyewe eh Ukitenda maovu Unajitendea mwenyewe eh Hadithi Hadithi njoo Oooh Hadithi njoo Hadithi Hadithi njoo Njoo Oooh Ukitenda mema Unajitendea mwenyewe Ukitenda maovu unajitendea mwenyewe eh Ukitenda mema Unajitendea mwenyewe Ukitenda maovu unajitendea mwenyewe eh Ukitenda mema Unajitendea mwenyewe Ukitenda maovu unajitendea mwenyewe eh Ukitenda mema Unajitendea mwenyewe Ukitenda maovu unajitendea mwenyewe eh
Writer(s): Guardian Angel Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out