Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kadason
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Thadeo Peter Bundallah
Songwriter
Adam Amiry Maingwa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
GENIUSJINI X66
Producer
Lyrics
Yeah eh
Ihh
Baghosha
(Jini ex double 6)
Sitamani wanishushe hili penzi lifike
Tufe wote tuzikwe walimwengu mtupishe
Nitakuwa Nduli Iddi Amin kwa penzi lako
Iwe nchi kavu baharini nitakuwa mboni yako
Nashukuru nimekupata
Tunavyopendana ni kama mapacha
Nashukuru nimekupata
Tunavyopendana ni kama mapacha
(Uh uh huu)
Maana huyu (Wa kwangu pekee yangu)
Ah haina kushea (Wa kwangu pekee yangu) uh
Nimejipata kwake (Wa kwangu pekee yangu) ah
Maana huyu (Wa kwangu pekee yangu)
My we my wewe my wewe
My wewe wa pekee yangu
Peke yangu
Nimeshacheza sana ndondo
Ndondo mipira ya peku
Ila we pekee ndo uliogundua kipaji changu
Nimeliweka la kwako moyoni
Mpaka kinywani siishi kulitaja
Umenifanya nipende kiundani
Wanipeleka mbali nikibanwa haja
Nashukuru nimekupata
Tunavyopendana ni kama mapacha
Nashukuru nimekupata
Tunavyopendana ni kama mapacha
(Uh Uh huu)
Maana huyu (Wa kwangu pekee yangu)
Ah haina kushea (Wa kwangu pekee yangu)
Uh nimejipata kwake (Wa kwangu pekee yangu) ah
Maana huyu (Wa kwangu pekee yangu)
My we my wewe my wewe
Ah aah aah
(Music)
Lyrics powered by www.musixmatch.com