Lyrics

Unawasha moto ata bila kuwa na kibiriti We hufanya nini ndio ukaange tu fiti hivi Aki mama Mpaka moyo wangu unasimama Na ungekuwa chakula mpenzi wangu ningeweka nyingi Kupata mchuzi kama wako manze si rahisi Aki mama Staki tena mi kukudanganya Juu mi hukuonea mbali nakuwanga na tamaa Ni venye sijawahi sema sitakangi drama Je uko na chali ama uko single Na ka uko single pia naeza dai tumingle Aaah na itakuwa uchungu sana ukinilenga Juu kwa ndoto zangu, we ukuwanga wangu Na si upendana for real, for real Nataka ukuwe wangu for real, for real Nataka ukuwe wangu for real, for real For real Njoo basi ukuwe wangu for real Kidegee Kidegee, tumepanda matatu lakini kesho ndege Aaah Mpenzi mi ni mi na wewe Juu hii safari joh sioni bila wewe La Salama salimin, nataka niwe wako Fumba na ufumbue macho Nataka niwe wako Njoo unitulizie mawazo Nataka penzi lako Kuja nimefungua mlango Iko wazi juu yako Aaah na itakuwa uchungu sana ukinilenga Juu kwa ndoto zangu, we ukuwanga wangu Na si upendana for real, for real Nataka ukuwe wangu for real, for real Nataka ukuwe wangu for real, for real For real Njoo basi ukuwe wangu for real Na si upendana for real, for real Nataka ukuwe wangu for real, for real Nataka ukuwe wangu for real, for real For real Njoo basi ukuwe wangu for real Uwe wangu uwe wangu Uwe wangu uwe wangu uwe wangu Kuwa wangu ma Uwe wangu uwe wangu Aaah wangu Uwe wangu uwe wangu Uwe wangu uwe wangu Watendawili Forreal
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out