Lyrics

Nilikua sina haja lakini mmenitafutaa Izo zenu jitihada kwangu zimegonga ukutaa Vijineno kawaida lakini mwenzenu nakubalikaa Tazameni mbele mnapoenda msisahau mlipotokaa Vijineno kawaida lakini mwenzenu nakubalikaa Tazameni mbele mnapoenda msisahau mlipotokaa Msaada kwenu sijaomba naridhika nnachopataa Mkiniona mnakonda na sura zinawapaukaaa Mnayonifanyia sijalii najua mitihan Mimi nastahamili siweki kinyongo rohoniii Mnayonifanyia sijali najua mitihan Mimi nastahamili siweki kinyongo rohoniii Usafi wangu wa moyo mungu kanijaalia Nzuri sifa yangu ndomana mwanichukia Usafi wangu wa moyo mungu kanijaalia Nzuri sifa yangu ndomana mwanichukiaa Ukisema potelea mbali namie wakazi gani Namjali anaenijali namthamini anaenithamini Ukisema potelea mbali namie wakazi gani Namjali anaenijali namthamini anaenithamini Huwa sipendi kugombana yamenishindaa Sio kama nguvu sina nawachakachua Huwa sipendi kugombana yamenishinda Sio kama nguvu sina nawachakachuaa Kuongea mmejaaliwa niacheni vuvuzela Mnavonifatilia mnachelewa adi kulala Kuongea mmejaaliwa niacheni vuvuzela Mnavonifatilia mnachelewa adi kulalaa Maisha sasa mapambano sio kucheza makida Mie sipendi malumbano kwangu ayana faida Maisha sasa mapambano sio kucheza makida Mie sipendi malumbano kwangu ayana faida
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out