Lyrics

Nasikitika mamaa Nasikitika mamaa wee Walimwengu ni wabaya Walifanya tucheke kwa sababu tuachane Walimwengu ni wabaya Walifanya tucheke kwa sababu tuachane Wazazi wako mamaa Wazazi wako mama wee Lengo lao uolewe na tajiri Vile vile masikini sina pesa Lengo lao uolewe na tajiri Vile vile masikini sina pesa Mababu wetu walisema Mababu wetu walisema Duniani polepole polepole Juu mwendo haraka haina baraka Duniani polepole polepole Juu mwendo haraka haina baraka Kutangulia si kufika Kupanda ngazi kuteremka Hawajui duniani kuna leo kuna kesho Mambo ya Mungu ni mengi Hawajui duniani kuna leo kuna kesho Mambo ya Mungu ni mengi Bibi na bwana wakigombana nyumbani Uwaache wenyewe mpaka wataelewana Lakini ukawaingilia wakipatana Utabaki ndani yake eehh Bibi ba bwana wakigombana nyumbani Uwaache wenyewe mpaka wataelewana Lakini ukawaingilia wakipatana Utabaki ndani yake eeh mtoto wa mama Jua maisha ni mlima eeh (maisha ni mlima) Kuna kupanda na kushuka eeh (Kupanda na kushuka) Bali kuteleza sio kuanguka eeh Mtoto wa mama Jua maisha ni mlima eh (maisha ni mlima) Kuna kupanda na kushuka (Kupanda na kushuka) Bali kuteleza sio kuanguka eeh Mtoto wa mama Jua maisha ni mlima eeh (maisha ni mlima) Kuna kupanda na kushuka eeh(Kupanda na kushuka) Bali kuteleza sio kuanguka eeh Mtoto wa mama Jua maisha ni mlima eeh (maisha ni mlima) Kuna kupanda na kushuka eeh (Kupanda na kushuka) Bali kuteleza sio kuanguka eeh Mtoto wa mama Jua maisha ni mlima eeh (maisha ni mlima) Kuna kupanda na kushuka eeh (Kupanda na kushuka) Bali kuteleza sio kuanguka eeh Mtoto wa mama Jua maisha ni mlima eeh (maisha ni mlima) Kuna kupanda na kushuka eeh (Kupanda na kushuka) Bali kuteleza sio kuanguka eeh Mtoto wa mama Jua maisha ni mlima eeh (maisha ni mlima) Kuna kupanda na kushuka eeh (Kupanda na kushuka) Bali kuteleza sio kuanguka eeh Mtoto wa mama Hehehe Niliteleza lakini sikuanguka Eeeeeh maisha Eeeeeh maisha Maisha Maisha Maisha Maisha Hatari Jua maisha ni mlima eeh (maisha ni mlima) Kuna kupanda na kushuka eeh (Kupanda na kushuka) Bali kuteleza sio kuanguka eeh Mtoto wa mama Jua maisha ni mlima eeh (maisha ni mlima) Kuna kupanda na kushuka eeh (Kupanda na kushuka) Bali kuteleza sio kuanguka eeh Mtoto wa mama Panda, panda eeh shuka, shuka Panda, panda eeh shuka, shuka Panda, panda eeh shuka, shuka Panda, panda eeh shuka, shuka ooh Panda, panda eeh shuka, shuka Panda, panda eeh shuka, shuka Panda, panda eeh shuka, shuka Panda, panda eeh shuka, shuka ooh
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out