Lyrics

Niaje Mejja, eeh sema jo Nasha Jo Niko poa sana Acha ujinga we wakuwa nani e jamani Ah salala wanitukana niaje tena Ah si hivyo nataka kujua we ni nani? Wataka kujua mi ni nani vako zangu ni gani? Mi naitwa Mejja na mi napenda ndom Na mi napenda vibe (Haiyaa) Nimeshika hadi Bongo wanapenda genge Wanaiita vaibu Manze I'm a dad na bado nawaroga Ndio time iko tight Nitakupa mawaidha niliambiwa na matha Jua kukaa na watu (Muhimu) Mi hukuwa na mabeste few (So few) Mbona wengi na wachache ndio watrue (Very true) Btw napenda ndegu ka stew (Aii aii) Eunice Njeri kwangu ako juu Sikuja Nairobi by birth Nilikuja Nairobi by bus, bus Mi siwezi kaa Niko mraa nikisaka hii chapaa aah Genge ni hewa napumua Ukininyima ni sawa na kuniua aah Sitachoka kuandika Hizi magenge mchunishe kwa speaker Mi naitwa Mejja na mi napenda ndom Na mi napenda vibe (Haiyaa) Nimeshika hadi Bongo wanapenda genge Wanaiita vaibu Manze I'm a dad na bado nawaroga Ndio time iko tight Nitakupa mawaidha niliambiwa na matha Jua kukaa na watu (Muhimu) Ah Mejja hangover dawa Ah sawa ya hangover supu Kwanza ile supu huchapwa na kibuyu Ah nisha basi tupatie sauti we nawe (Aah) Tell me what you want Tell me wha you want yeah. Mi naitwa Nasha na mi napenda queens Na mi napenda vibe Nimeshika hadi Dar wanasema mi mweupe Wananiita mi Mwarabu Nimetoka Pwani nataka nishike jiji Ndio time iko tight Nitakupa mawaidha niliambiwa na matha Jua kukaa na watu Eeh Nasha sauti imenizingua (Aah we naye) Aah Nasha Mavo on the Beat
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out