Music Video

Kerly D - Nakupenda (Official Video) ft. Belle 9
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kerly D
Kerly D
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Viem
Viem
Producer

Lyrics

Kajoro Viem Wallah aah nayo waza hayawaziki Me nawaza nikuone nisione, kingine mbele Maana aaaah moyo wangu ume ukoki Siwazi hata mengine, only you I feel Aah ulivyo jaza sura ya mama Nakicheko cha kitoto Napata Raha kukutazama Kule insta mafoto Nimbali unapo ishi Uganda Kampala Nitapanda hata bus nije nikuone angalau Nimbali unapo ishi Uganda Kampala aaa Nitapanda hata bus nije nikuone angalau Usione kama nateseka Mana mana mana Upendo umenifanya hivi Maya maya maya Usione kama na henyeka iyowee eeh Mana mana mana Upendo umenifanya hivi Maya maya maya, Nimependa Nakupenda Uuuh love yes I love you Nakupenda Aaah ahhh Anything for you I can do Nakupenda Me I love you buu aah yes I love you Nakupenda Aaaagh nimependa Aaaaaaah Hata moyo una macho ulicho ona kwako Wanijue wazazi wako Itakua nice couple Baby punguza mapoz yeeah Hata moyo una macho ulikuona wee Penzi tiba napona baby Wengine mibaa sukari wee iiih Aaaagh yeeah Kuwa nami upate Furaha faraja Walio kufuja wame bwabwaja Maini kuku vibaga baga sasa Kuwa nami upate Furaha faraja Walio kufuja wame bwabwaja Maini kuku vibaga baga sasa Nipe mavitu nijihisi niko peponi Navyo kupenda utaizidi microphone Mambo hadharani kwanini vichochoroni Baby baby eeeeh Nimependa Nakupenda Uuuh love yes I love you Nakupenda Anything for you I can do Nakupenda Me I love you buu aah yes I love you Nakupenda Aaaah nimependa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out