Lyrics

Umewahi ongea na Mungu wako Ukamweleza siri zako Lini uliacha kumuomba Ulipata majibu gani Umeongea lini na mwokozi wako Ukaweka chini mizigo yako Je,unajua-yeye anakujali Ndiye rafiki wa kweli(waaha kweli) Tazama (tazama)ameumba(ameumba) Mbingu takatifu(mbingu takatifu) Hakuna shida wala majonzi(aaaah) Hakuna kifo yote yamepita Tutamwabudu na kumsifu Bwana(msifu bwanaa) Na tutamuimbia na tutamshukuru Zawadi ya uzima milele (eeehee) Tulikua wadhambi tumeokolewa Na tutamsifu milele(milele) Tuwaambie wengine wema wake Yesu Jinsi anavyotenda kwa waaminio Tukimuomba tena kwa imani Hutupa mahitaji yetu(yetu yote heee) Umkaribie Yesu uombe kila siku Moyoni mwako kwa unyenyekevu Anasikia yote uyaombayo Ndiye rafiki wa kweli Anasikia yote tuyaombayo Ndiye rafiki wa kweli
Writer(s): Mosie Lister Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out