Lyrics

Naskia kiu sijui wapi ntaikata Naskia kiu jama koo linawasha Hhhm hhmm, heheh love bite Enheee huyo ndo pablo sasa Maji maji (Maji) maji maji (Maji) Maji maji (Maji) maji maji (Maji) Maji ya kisima (Maji) Maji ya mtungi (Maji) Maji ya mtaro (Maji) Maji ya kandoro (Maji) Nataka maji maji (Maji) Maji maji (Maji) maji maji (Maji) Maji maji (Maji) Churrrr aaah I like it, I like it, I like it Churrr aaah I like it, I like it, I like it We pablo hushikiki, we pablo hushikiki We pablo hushikiki, hushikiki hushikiki We ninja hushikiki, we ninja hushikiki We ninja hushikiki, hushikiki hushikiki Huyu chura wa wapi huyu Kidogo tu kashamwaga maji (Wa bukoba huyo) Huyu chura wa wapi huyu? Hatulii akishaona maji (Wa tabata huyo) Huyu chura wa wapi? Anakataa maji anaagiza maji (Mlokole huyo) Huyu chura wa wapi? Anamwaga radhi kisa kanywa maji aaaaaaah!!! Nataka maji maji (Maji) Maji maji (Maji) maji maji (Maji) Maji maji (Maji) Maji ya kidimbwi (maji) Maji ya wavuvi (Maji) Ya kunduchi beach (Maji) Maji ya chumvi (Maji) Churrrr aaah I like it, I like it, I like it Churrr aaah I like it, I like it, I like it We pablo hushikiki, we pablo hushikiki We pablo hushikiki, hushikiki hushikiki We ninja hushikiki, we ninja hushikiki We ninja hushikiki, hushikiki hushikiki Asa mwaga maji tucheze kama kambale Mwaga maji tulewe tugalegale Mwaga maji tucheze kama kambale Mwaga maji tulewe tugalegale Asa mwaga maji tucheze kama kambale Mwaga maji leo tupompaka mishale Mwaga maji tucheze kama kambale Mwaga maji leo tupo mpaka mishale
Writer(s): Abdul Juma Idd Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out