Lyrics

J4d Sound Aahh Vitamini oooohh Adasco mtu mbaad Ohh Raha ya tunda nikupe unipe mi Mapenzi hayataki karaha Najua Unanipenda Mimi mwenzio Nina Sikia rahaa Raha ya tunda nikupe unipe mi Mapenzi hayataki karaha Najua Unanipenda Mimi mwenzio Nina Sikia rahaa Raha ya tunda nikupe unipe mi Mapenzi hayataki karaha Najua Unanipenda Mimi mwenzio Nina Sikia rahaa Raha ya tunda nikupe unipe mi Mapenzi hayataki karaha Najua Unanipenda Mimi mwenzio Nina Sikia rahaa Aahhh Mama Weee Onaaa Haya Mapenzi yanafanya na nenepa kishenzi Mwezenu mi napendwa Nitaachwa kama Mungu akipenda Mwezenu mi napendwa Nitaachwa kama Mungu akipenda Kwa sasa nipo kwenye Huba Zito Naongezeka Uzito nipo kwenye zitooo ohoo Ona amenipenda Mi natabia Zangu na umalaya Wangu Na Skendo zangu Mwezenu amenipenda Mi natabia Zangu na umalaya Wangu Na Skendo zangu Baby nikachakarike nije tule vizuri ohoo Kipenzi nikapagawise Tuje tule vizuri ooh Mimi na wewe Mimi na wewee ehh Kipenzi nikachakarike nije tule vizuri ohoo Baby nikapagawise Nije tule vizuri ooh Mimi na wewe Mimi na wewee ehh Raha ya tunda nikupe unipe mi Mapenzi hayataki karaha Najua Unanipenda Mimi mwenzio Nina Sikia rahaa Raha ya tunda nikupe unipe mi Mapenzi hayataki karaha Najua Unanipenda Mimi mwenzio Nina Sikia rahaa Raha ya tunda nikupe unipe mi Mapenzi hayataki karaha Najua Unanipenda Mimi mwenzio Nina Sikia rahaa Raha ya tunda nikupe unipe mi Mapenzi hayataki karaha Najua Unanipenda Mimi mwenzio Nina Sikia rahaa Mama wewe Ah Raha ya tunda nikupe Unipe mwenzioo Nikupe Unipe nisusie Nikupe Unipee Ona Raha ya tunda nikupe Unipe mwenzioo Nikupe Unipe nisusie Nikupe Unipeee Bora Nisusie Nikunjie nipatie (Nisusie Nipatie) Usimpe Mtu Iyo ya Kwangu miee (Iyo ya Kwangu Miee) Bora Nisusie Nikunjie nipatie (Nisusie Nikunjie) Usimpe Mtu Iyo ya Kwangu miee Iyo ya Kwangu Miee Iyo ya Kwangu Miee Iyo ya Kwangu Miee Iyo ya Kwangu Miee Baby nikachakarike nije tule vizuri ohoo Kipenzi nikapagawise Nije tule vizuri ooh Mimi na wewe Mimi na wewee ehh Kipenzi nikachakarike nije tule vizuri ohoo Baby nikapagawise Nije tule vizuri ooh Mimi na wewe Mimi na wewee ehh Raha ya tunda nikupe unipe mi Mapenzi hayataki karaha Najua Unanipenda Mimi mwenzio Nina Sikia rahaa Raha ya tunda nikupe unipe mi Mapenzi hayataki karaha Najua Unanipenda Mimi mwenzio Nina Sikia rahaa Ahh Vitamin Yooooo Wee Amenipenda Mi natabia Zangu na umalaya Wangu Na Skendo zangu Mwenzenu amenipenda Mi natabia Zangu Na umalaya Wangu Na Skendo zangu Mtu mbaaad
Writer(s): Riphati Jumanne Omary A.k.a Msomali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out