Lyrics

Amini amini nakwambia Amini amini ujumbe mpya Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima Ni mwokozi aliyenifia Nitoke dhambini alisema Yeye aliyemwamini Bwana anao uzima Amini amini nakwambia Amini amini ujumbe mpya Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima Dhambi zangu zote zilichukuliwa Deni zangu zote zilipwa Wote waliomwamini Bwana, wanao uzima Amini amini nakwambia Amini amini ujumbe mpya Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima Ijapo ningekuwa maskini Ijapo ningekuwa mkosaji Neno la furaha la mwokozi, ninao uzima Amini amini nakwambia Amini amini ujumbe mpya Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima Na sina shaka nitamwamini Yeye ajaye kwake hatupwi Amwaminiye tuma habari, tunao uzima
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out