Upcoming Concerts for Chopteeth Afrofunk Big Band
Top Songs By Chopteeth Afrofunk Big Band
Credits
PERFORMING ARTISTS
Putumayo
Performer
Chopteeth Afrofunk Big Band
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Michael Shereikis
Songwriter
Anna Mwalagho
Songwriter
Lyrics
Mambo yote yatakuwa sawa-sawa
Tukiweka kando yetu rangi za nyuso zetu
Kila kitu, oh, kitakuwa sawa-sawa
Tukiweka kando yetu siasa iliyo chafu
Na mambo yote yatakuwa sawa-sawa
Tukiweka kando yetu rangi za nyuso zetu
Watu wote, woo, watakuwa sawa-sawa
Tukiweka mbele yetu, upendo, upendo
Na mambo yote yatakuwa sawa-sawa
Tukiweka kando yetu rangi za nyuso zetu
Kila kitu, oh, kitakuwa sawa-sawa
Tukiweka kando yetu siasa iliyo chafu
Na mambo yote yatakuwa sawa-sawa
Tukiweka kando yetu rangi za nyuso zetu
Watu wote, woo, watakuwa sawa-sawa
Tukiweka mbele yetu, upendo, upendo
Upendo una baraka
Upendo una uzima
Upendo una umoja
Upendo una furaha
Upendo una imani
Upendo ni kila kitu
Whoa, yeah
Whoa, yeah
Upendo una baraka
Upendo una uzima
Upendo una umoja
Upendo una furaha
Upendo una imani
Upendo ni kila kitu
Whoa, yeah
Whoa, yeah
Yeah
Wacha watu wapendane
Wacha watu waishi pamoja
Hey, wacha watu wapendane, eh
Everybody love one another
We only have one life to live, yo
There's no black and white
As one blood, everybody that's, eh
Cheza eh! Cheza eh
Katika we'! Sukuma we'
Cheza eh! Cheza eh
Katika we'! Sukuma we'
Cheza eh! Cheza we
Katika we'! Sukuma we'
Cheza eh! Cheza we
Katika we'! Sukuma we'
Cheza eh! Cheza we
Katika we'! Sukuma we'
Cheza eh! Cheza we
Katika we'! Sukuma we'
Cheza eh! Cheza we
Katika we'! Sukuma we'
Cheza eh! Cheza we
Katika we'! Sukuma we'
Katika, yeah
Twe-, twe-, twe-, twe-
Twe-, twe-, twe-, twe-
Twe-, twe-, twe-, twe-
Twe-, twe-, twe-, twe-
Twe-, twe-, twe-, twe-
Twe-, twe-, twende, eh
Che-, eh
Waache watu wapendane
(Eh, eh, eh, eh)
Upendo we, upendo we, upendo we, upendo we
Upendo we, upendo we, upendo we, upendo we
Upendo we, upendo we, upendo we, upendo we
Upendo we, upendo we, upendo we, upendo we
Upendo we, upendo we, upendo we, upendo we
Lyrics powered by www.musixmatch.com