Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Just a Band
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bildad Sellanga Ochieng
Songwriter
Lyrics
Microphone check one, one two (Musyoka)
Ukiwasha nare Mathare 'taonja vibare
Mi si mnati, si Barbie, niko tu katikati
Staki kuskiza story za charity, charity
Nipe wings ni-defy-fy gravity, gravity
Sema oh
Ha-He
Juu tuko works mzeiya (Ha-he)
Evacuate the area (Ha-he)
Juu tuko works mzeiya (Ha-he)
Serikali haijali
So naona mbwa kali afadhali
Dame amejam juu dough haikam
Na siwezi kum-show ati life ni exam juu
Ntatupiwa sufuria
Na hizo ni aibu ndogo ndogo mi sipendi
So nikikipita tao tao
Ju sio madharau-rau
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area (Ha-he)
Juu tuko works mzeiya (Ha-he)
Nipe, nipe nafasi
Nikueleze kiasi
Vile sisi hufanya
Pande hii ya the tracks
Hatuchezi na kazi
Sipoteze wakati
Tumekunja mashati oo-ooh oo-ooh
Juu tuko works mzeiya (ha-he)
Evacuate the area (ha-he)
Juu tuko works mzeiya aa ah (ha-he)
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area (ha-he)
Juu tuko works mzeiya aah aah (ha-he)
Ha-he 0
Writer(s): Bildad Ochieng Sellanga, Eric Musyoka
Lyrics powered by www.musixmatch.com