Top Songs By Glenn Miller and His Orchestra
Serenade In Blue (From "Orchestra Wives")Glenn Miller and His Orchestra, Billy May, Glenn Miller, Steve Lipkins, Dale McMickle, Johnny Best, Jim Priddy, Paul Tanner, Frank J. D'Annolfo, Skippy Martin, Wilbur Schwartz, Al Klink, Tex Beneke, Ernie Caceres, Chummy MacGregor, Bobby Hackett, Edward "Doc" Goldberg, Maurice Purtill, Ray Eberle & The Modernaires
Credits
PERFORMING ARTISTS
Glenn Miller
Performer
Glenn Miller and His Orchestra
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Harry Warren
Composer
Mack Gordon
Composer
Lyrics
Nafsi inaniambia, niwe na moyo wa subira
Tamaa sio tabia, niache pupa na hila
Nafsi inaniambia niwe na moyo wa subira
Tamaa siyo tabia niache pupa na hila
Pendo lina hiyari mtu linapomfika
Na kupenda maradhi mabaya yasotibika
Nipende nione raha nisije kudhalilika
Tena isiwe karaha nikaja kukashifika
Natafuta penzi la kweli sipati wote naona wezi, Penzi langu mimi liko mashakani mimi nifanye ninii yeee
Natafuta penzi la dhati sipati wote naona wezi, Penzi langu mimi liko mashakani mimi nifanye niniiiii
Nanananini nanananananini nananananini nanananananini {×4}
Najua maana ya penzi sababu nishaumia
Nilipoachwa na mpenzi ambaye kiruka njia
Mbaka naimba hizi tenzi fahamu hizi hisia
Nataka uje unienzi nimechoka kulia
Roho inataka faraja zenye utamu usio kifani
Nitatimiza nyinqi haja nikiwa nawe mwandani
Nipe juice ya mahaba yenye ladha kinywani
Haba na haba si haba nipeleke nyumbani
Natafuta penzi la kweli sipati wote naona wezi, Penzi langu mimi liko mashakani mimi nifanye nini yee
Natafuta penzi la dhati sipati wote naona wezi, Penzi langu mimi liko mashakani mimi nifanye niniii
Baby hahaaaa heeiyeee
Baby hahaaaa heeiyeee
Baby hahaaaa heeiyeee
Baby hahaaaa heeiyeee
{Eeiiyee}
Nanananinii
Nanananananini mi
Nanananananini
Nananananini mi {×4}
☆☆☆Starkid☆☆☆
Writer(s): Warren Harry Lendi Anthony, Menestrel Paul Gordon Mack
Lyrics powered by www.musixmatch.com