Lyrics

Bwana, Umeinuliwa aah, katika, kiti chako, cha Enzi Bwana, Umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha Enzi X2 Maserafi, wako mbele zako mungu, uuh, Wazikabithi, heshima zako mbele zako Wanalia, mtakatifu ni wewe mungu, uuh Mtakatifu, mtakatifu ni wewe mungu Bwana, Umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha Enzi X2 Makerubi, pia wako mbele zako, ooh, hata nao, Wazikabithi heshima zao Wanazivua, taji zao za dhahabu, uuh wakiinama, Mtakatifu ni wewe mungu. Bwana, Umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha Enzi X2 Wazee wale ishirini na wanne, eeh, hata nao Wazikabidhi heshima zao, Wanainama, mtakatifu ni wewe mungu, uuh, Mtakatifu, mtakatifu ni wewe mungu. Bwana, Umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha Enzi X2 Viumbe wale walio hai, iih, hata nao wazikabithi Heshima zao. Wapeperusha, mabawa yao mbele zako, ooh, Wajifunika, mtakatifu ni wewe mungu Bwana, Umeinuliwa aah, katika, kiti chako, cha Enzi X2 Nafsi yangu, naiinua mbele zako, ooh, Naungamana, na hilo jeshi la mbinguni, Mataifa yote nayo yajue, eeh, ya kwamba wewe, Wewe mungu ni mtakatifu Bwana, Umeinuliwa aah, katika, kiti chako, cha Enzi X3
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out