Lyrics

Alfajiri upepo was bahari umenijia Nikaona nyota ya kanda ya mashariki Kuishi visiwani mama ah kuna utamu wake Unguja Pemba Zanzibar visiwa vya kwetu ee Siku nitafika Pemba binti si utaafani Siku nitafika Pemba binti si utaafani Siku nitafika Pemba binti si utaafani Nitembeze sehemu zote hadi mwisho Kuishi visiwani mama ah kuna utamu wake Unguja Pemba Zanzibar visiwa vya kwetu (Marashi ya Pemba, Zanzibar) Alfajiri upepo was bahari umenijia Nikaona nyota ya kanda ya mashariki Kuishi visiwani mama ah kuna utamu wake Unguja Pemba Zanzibar visiwa vya kwetu ee Siku nitafika Pemba binti si utaafani Siku nitafika Pemba binti si utaafani Siku nitafika Pemba binti si utaafani Nitembeze sehemu zote hadi mwisho Kuishi visiwani mama ah kuna utamu wake Unguja Pemba Zanzibar visiwa vya kwetu ee Wallahi sitabaki naenda Pemba ndege itaruka Wallahi sitabaki naenda Pemba ndege itaruka Nasikia ni kuzuri Jioni kuna upepo Eti kunanukia ah Marashi ya karafuu Nipae angani, nikatishe bahari Juu kwa juu nione, halafu itue Pemba Marashi ni kote, Pemba oh Pemba Wallahi sitabaki naenda Pemba ndege itaruka Wallahi sitabaki naenda Pemba ndege itaruka Nasikia ni kuzuri Jioni kuna upepo Eti kunanukia ah Marashi ya karafuu Nipae angani, nikatishe bahari Juu kwa juu nione, halafu itue Pemba Marashi ni kote, Pemba oh Pemba Wallahi sitabaki naenda Pemba ndege itaruka Wallahi sitabaki naenda Pemba ndege itaruka Nasikia ni kuzuri Jioni kuna upepo Eti kunanukia ah Marashi ya karafuu (Uuuuuh) Pemba Pemba Pemba Zanzibar Ee mama yolele Ee mama yolele Ee mama yolele Ee mama yolele Ee mama yolele Ee mama yolele Nasikia ni kuzuri Jioni kuna upepo Eti kunanukia ah Marashi ya karafuu Chuku ma wee Kana chuku ma wee Chuku ma yee Chuku bwana ya yee
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out