Music Video

MASANJA MKANDAMIZAJI HILO NI PEPO OFFICIAL VIDEO
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Masanja Mkandamizaji
Masanja Mkandamizaji
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Masanja Mkandamizaji
Masanja Mkandamizaji
Songwriter

Lyrics

Nimeokoka mimi nalitaja jina lake Yesu, Asiyeamini apige magoti tumuombee. Hilo ni pepoo(hilo ni nini) Hilo ni pepo (eti jamani ni nini) Hilo ni pepo (mi nasema ni linini) Hilo ni pepo (haya sasa) Kwa jina la Yesu lishindweee... (Wengine wanayo mawili) Nimeokoka mimi nalitaja jina lake Yesu, Asiyeamini apige magoti tumuombee. Hilo ni pepoo(hilo ni nini) Hilo ni pepo (eti jamani ni nini) Hilo ni pepo (mi nasema ni linini) Hilo ni pepo (haya sasa) Kwa jina la Yesu lishindweee... Eee niko na swalii wapendwa naomba mnipeni jibuuu Mimi na swali watu wa Mungu nyie mnipeni jibuu. Et mtu mwokovu kwa macho yako inatakiwa aweje? Mtu mwokovu baba na mama kwenu anatakiwa aweje? Au mtu mwokovu marufuku kufuga nywele kama zangu? Au mwokovu marufuku kuwa na mwendo kama wangu? Au mtu mwokovu hatakiwi kufanya kazi kama yangu? Kwani ukiokoka unawekwa alama yoyote kichwani? Au ukiokoka paji lako la uso huwekwaga tiki? Hili ni swali msiponinibu, mimi najijibuu... Nimeokoka mimi nalitaja jina lake Yesu, Asiyeamini apige magoti tumuombee. Hilo ni pepoo(hilo ni nini) Hilo ni pepo (eti jamani ni nini) Hilo ni pepo (mi nasema ni linini) Hilo ni pepo (haya sasa) Kwa jina la Yesu lishindweee... (Wengine wanayo mawili) Nimeokoka mimi nalitaja jina lake Yesu, Asiyeamini apige magoti tumuombee. Hilo ni pepoo(hilo ni nini) Hilo ni pepo (eti jamani ni nini) Hilo ni pepo (mi nasema ni linini) Hilo ni pepo (haya sasa) Kwa jina la Yesu lishindweee... Ee ninavojua mimi pamoja na maandiko yanavosemaaa. Ninachojua mimi na Biblia ndivyo inavyosema. Ukiamini ukabatizwa basi we unaokokaa Niliamini Mwakibolwa akaja akanibatizaaa... Kwa maji mengi na nikauzika utu wote wa kalee. Nikaibuka mpya, natangaza mimi nimeshaokokaaa,. Hivyo viswali vyako juu yangu vitakupeleka motonii Viswaliswali vyako juu yangu vitakupeleka motonii Nitapita naingia kwa God nakuacha mlangoni babaa. Nitapita naingia peponi nakuacha mlangoni we mamaaaaaaaaa. Nimeokoka mimi nalitaja jina lake Yesu, Asiyeamini apige magoti tumuombee. Hilo ni pepoo(hilo ni nini) Hilo ni pepo (eti jamani ni nini) Hilo ni pepo (mi nasema ni linini) Hilo ni pepo (haya sasa) Kwa jina la Yesu lishindweee... (Wengine wanayo mawili) Nimeokoka mimi nalitaja jina lake Yesu, Asiyeamini apige magoti tumuombee. Hilo ni pepoo(hilo ni nini) Hilo ni pepo (eti jamani ni nini) Hilo ni pepo (mi nasema ni linini) Hilo ni pepo (haya sasa) Kwa jina la Yesu lishindweee... Lishindweeee...(kwa jina la Yesu) Lishindweee.(hilo pepo la ubishi) Lishindweee...(mi nasema lishindwe) Lishindweee.(twendee, kwa jina la Yesu) Lishindweeee... (Twende tenaaaa) Lishindwee.(hayaa kwa jina la Yesu) Lishindwee.(hilo pepo la ubishi) Lishindwee.(tenaa kwa jina la Yesu) Lishindwee.(hayaa kwa jina la Yesu) Lishindweee... Hee nikukumbushe Mungu baba wa mbinguni, alivokerwaa Alivokerwa na mtume Paulo Akasema "We Sauli"(sauli), "Sauli"(sauli), mbona waniudhi? Akasema "We Sauli"(sauli) "Sauli" (sauli) mbona waniudhi?
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out