Lyrics

Azu on the beat When i wake up in the morning In the morning, in the morning I see unanikiss mdomoni Mdomoni (mdomoni) Nalala na picha kitandani Kitandani (kitandani) Mapenzi yanaumiza moyoni Moyoni (moyoni) We ndo pacha wangu mlisi wa bibi Utu na visa vyangu vyote nakukabizi Even me mama unaniumiza usiku Ukipiga simu huku unajiliza Nasikia umeolewa nitaleta zawadi Tunza heshima isiwe ili mradi Eeeh i love you baby, i love you baby Japo shida inabidi unizoee, sina budi unizoee Eeeh i love you baby, i love you baby i I love you baby japo shida inabidi unizoee (I love you baby, i miss you darling) Sina budi unizoee Ufinyu wa shilingi kwangu na shimo Naliona ukatili wa mapenzi yangu kwa shibe ya dona Kila siku nasali namuomba Mola Mja nlinde na hali najua unaniona Nishalizwa saana wee haaya Hawaoni tukiongozana haayaa Mapacha tusiofanana mi na wee haayaa Kumbe we ndo pacha wangu mlisi wa bibi Utu na visa vyangu vyote nakukabizi Even me mama unaniumiza Usiku ukipiga simu huku unajiliza Nasikia umeolewa nitaleta zawadi Tunza heshima isiwe ili mradi Eeh i love you baby, i love you baby I love you baby Japo shida inabidi unizoee sina budi unizoee Mapenzi ni yale yale, sina budi unizoee Yananiuma saana Eeh i love you baby japo shida inabidi unizoee Sina budi unizoee nakupenda baby Ooh baby ooh, ooh baby bila wewe am ready Mapenzi ni yale yale oh nakupenda Baby mapenzi ni yale yale yanawateesa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out