Lyrics

Jina lako Bwana, jina lako oh-h Jina lako Bwana lenye ngufu Jina lako Bwana, jina lako Jina lako Bwana lenye uweza Jina lako Yesu, jina lako Jina lako Yesu, jina lako Jina lako Yesu lenye uweza tena Nimekukimbilia Bwana Sifa zitoke kinyani mwangu Ume nichaguwa wewe Unitumiye tchombo tcha sifa Nimekukimbilia Bwana Sifa zitoke kinyani mwangu Ume nichaguguwa wewe Unitumiye tchombo tcha sifa Jina lako Yesu lenye ngufu Jina lako Yesu lenye uweja Jina lako Yesu lenye mamaulaka Jina lako Bwana lenye nguvu tena Jina lako Bwana lenye mamulaka Kwakuwa umeniita Nitasema ah Yale ambayo anishudiya Kwakuwa umeniita Nita sema ah Yale ambayo anishudiya Wengine wame jeruriwa na ndowa zao Wengine wame jeruriwa na ugumu wa maisha Wengine wame jeruriwa na ugumu wa maisha Wengine wame jeruriwa na kesi mabarazani Wengine wame jeruriwa na watchumba Kwa jili ya utukufu wako Baba ponya roho zao Ponya roho zao kwa utukufu wako Yesu Jina lako Yesu lenye ngufu Jina lako Yesu lenye mamaulaka Kuna watumishi Wame jeruriwa, ah-h-h Yale majeraha ya rohoni Kuna watumishi Wame jeruriwa Yale majeraha ya rohoni Wengine ni watchungaji wame jeruriwa na wahumini Wengine ni wahumini wame jeruriwa na watchungaji Wengine ni watchungaji wame jeruriwa na wahumini Wengine ni wahumini wame jeruriwa na watchungaji Kwajili ya utukufu wako Baba ponya roho zaho Kwajili ya utukufu wako Baba ponya roho zaho Ponya roho zaho kwa utukufu wako Baba Ponya roho zaho kwa utukufu wako Baba Jina lako Yesu lenye ngufu Jina lako Yesu lenye uweja Jina lako Yesu lenye mamulaka Uwa inuwe masikini Baba Walio kata tamaa kimaisha Uwa inuwe wale masikini Walio kata tamaa kimaisha Wengine wame jeruriwa na ugumu wa maisha Wengine wame jeruriwa kwa kufukuzua kazi Wengine wame jeruriwa kwa kukatwa mapao zao Wengine wame jeruriwa na ugumu wa maisha Ponya roho zaho kwa utukufu wako Bwana Jibu mahombi yao
Writer(s): Bahati Bukuku Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out