Lyrics

Walikubaandika mtu wa shida Daktari alisema hakuna tiba Ulianguka tena na tena kumbuka Alikuokoa hakukusahau Ukapewa notisi hakuna kazi Ma auctioneers waka vuruga mali Ulianguka tena na tena, kumbuka Alikuokoa hakukusahau Rauka, inuka sahau yote yaliyopita Tazama mambo mapya Sahau yote yaliyopita Kumekucha, pambazuka, leo Twakushukuru Baba Twakuinua Baba Twakutukuza Baba Twakupokea Mfalme wa wafalme Twakushukuru Baba Twakuinua Baba Twakutukuza Baba Twakupokea Mfalme wa wafalme Rauka, inuka sahau yote yaliyopita Tazama mambo mapya Sahau yote yaliyopita Kumekucha, pambazuka, leo Twakushukuru Baba Twakuinua Baba Twakutukuza Baba Twakupokea Mfalme wa wafalme Twakushukuru Baba Twakuinua Baba Twakutukuza Baba Twakupokea Mfalme wa wafalme Rauka, inuka sahau yote yaliyopita Tazama mambo mapya Sahau yote yaliyopita Kumekucha, pambazuka Rauka, inuka sahau yote yaliyopita Tazama mambo mapya Sahau yote yaliyopita Kumekucha, pambazuka, leo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out