Lyrics

Bila shaka huu ugeni sio mwingine wa single for real Najua ulipenda kuzunguka dunia hii Na leo umerudi kwa kunipa ripoti mi Mpaka home ukarejea, mizigo nkakupokea Mengi ukanielezea, ni mengi umejionea Hii dunia ina mengi matatizo Ulimwengu una vingi vikwazo Kabla hujafanya maamuzi ungepima Kipi nimetenda kwako ka kimepima Ni wivu ulikufanya ukasepa Na mashoga zako wewe wakakuteka Uko Sodoma, Kampala Arusha, Mwanza wewe ulionekana Mama wewe ulionekana, wewe ulionekana X2 Kumbe kizungu, kumbe kizunguzungu cha mapenzi Kinamzingua ye Kumbe kizungu, kumbe kizunguzungu cha mapenzi Kinamzingua yeye Alinionyesha upole akitaka msamaha Aliyoyafanya nyuma kukumbuka jama Demo si japo pema, hata ukipema si pema tena Mi nataka kuwa nae, naogopa mi kuwa nae Moyo wangu wa chuma unajenga kutu Nataka kuwa nae, naogopa mi kuwa nae Moyo wangu wa chuma umejenga kutu Mapenzi ya sasa tapeli, mapenzi ya sasa kwaheri Umejenga kutu Kumbe wivu ulikufanya ukasepa Na mashoga zako we wakakuteka Uko Uganda, Kampala Arusha, Mwanza we ulionekana Mama wewe ulionekana, wewe ulionekana X2 Kumbe kizungu, kumbe kizunguzungu cha mapenzi Kinamzingua ye Kumbe kizungu, kumbe kizunguzungu cha mapenzi Kinamzingua yeye Fundi tanga na njia sasa umerudi tena, mama Kiko wapi ulichokifata, wewe? Siwezi sema sitopenda tena Ila naamini umejunza Najua we ukipenda hayo maisha ya raha Na mimi kwangu ikaja ikawa karaha Nasema ne-ne-nenda dada, ne-ne-nenda dada Najua we ukipenda hayo maisha ya raha Na mimi kwangu ikaja ikawa karaha Nasema ne-ne-nenda dada, ne-ne-nenda dada X2 Kumbe kizungu, kumbe kizunguzungu cha mapenzi Kinamzingua ye Kumbe kizungu, kumbe kizunguzungu cha mapenzi Kinamzingua yeye
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out