Lyrics

Kulalama kufuru lakini Naona ndio napoza moyo Uwepo wako sawa na muiba kidoleni Ile tamu imegeuka shubiri Nilipokuthamini nikakupa moyo Hata kutendwa sikufikiri Kinywa kizito kukubali ukweli Moyo unashindwa inaniuma ni hatari Mapenzi yanatawala dunia sawa Nimechoka kutawaliwa kama Uwepo wako sawa na muiba kidoleni Ile Asali wanalina wengine Siwezi kubishana na moyo Nilikupenda kipepeo Ila ile picha inaonyesha mapenzi yamekwisha Ooh () Basi nenda Na me ntafute sababu ya kuridhia Sawa nenda Nami nitaudanganya moyo utatulia Basi nenda Na me ntafute sababu ya kuridhia Sawa nenda Nami nitaudanganya moyo utatulia (2) Wanasema upendo wa kweli ndio haufutiki Ila kwa baadhi najua Right ningeelewa kuvuma kwa upepo hakutongebadili misimu ya jua Nilishajua miendeno yako Tusingewezana aaha Kumbe nakunywa maji ya moto nami bado mtoto Kwangu changamoto mmh Waliposema hufai Nilijipa moyo ni ya walimwengu (Bilekebizembe bindi biloza) Karol aliniambia Labda thamani ya mapenzi ni kikombe Sikukivunja sina thamani Sawa nimelewa sana sina haja ya kung'ang'ana () Basi nenda Na me ntafute sababu ya kuridhia Sawa nenda Nami niudanganya moyo utatulia Basi nenda Na me ntafute sababu ya kuridhia Sawa nenda Nami niudanganya moyo utatulia Basi nenda Na me ntafute sababu ya kuridhia Sawa nenda Nami niudanganya moyo utatulia Basi nenda Na me ntafute sababu ya kuridhia Sawa nenda Nami niudanganya moyo utatulia.
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out