Lyrics

Hey hey, hey hey Naimani nikiwa peke angu Nitadata sio kusikia raha Naimani nikiwa na wangu Ndo burudani baby girl Naimani nikiwa peke angu Niitadata sio kusikia raha Naimani nikiwa na wangu Ndo burudani baby girl Hey! Bora niseme ya moyo baby Me nataka tuka party Niende na wewe (hey) Bora niseme ya moyo baby Me nataka tuka party Niende na wewe Twende we mchumba Twende tukacheze goma oh oh! Kama mavumba Yapo ila usilewe sana oh oh! Twende we mchumba Twende tukacheze goma ah aah Kama mavumba Yapo ila usilewe sana oh oh! Ninavyo mpenda kumuacha sidhani (sidhani mimi) Nimpe vyote vilivyo duniani (duniani nami) Nimchukue twende nyumbani (twende na mimi) Ninavyo mpenda kumuacha sidhani (sidhani mimi) Nimpe vyote vilivyo duniani Nimchukue twende nyumbani (twende na mimi) Fanya utoke My baby giri ipo nje (mamaa) Fanya uondoke Muda umekwenda sana Mwenzako nishalewa ukichelewa itakua balaa Nitazidi kunogewa mwisho wa siku mimi nitazima Nimeshalewa ukichelewa itakua balaa Nitazidi kunogewa, mwisho wa siku mimi ntazima Twende we mchumba Twende tukalicheze goma (ah ah) Kama mavumba Yapo ila usilewe sana (ah ah) Twende we mchumba Twende tukalicheze goma (ah ah) Na kama mavumba Yapo ila usilewe sana Mwenzako nimeshalewa Ukichelewa ni balaa (ooh ooh) Nitazidi kunogewa (nogewa) Mwisho wa siku nitazima (ooh ooh) Ukichelewa ni balaa (ooh ooh) Nitazidi kunogewa (nogewa) Mwisho wa siku nitazima (ooh ooh) Hey! Nitanogewa mwisho wa siku nitalewa (ah ah) Ninavyo mpenda Kumuacha sidhani (sidhani mimi) Nimpe vyote vilivyo duniani (Duniani nami) Nimchukue twende nyumbani (twende na mimi) Ninavyo mpenda Kumuacha sidhani (sidhani mimi) Nimpe vyote vilivyo duniani (ooh ooh) Nimchukue twende nyumbani (twende na mimi) Ooh ooh ooh oooh! Ooh ooh ooh oooh! (yeah) Ooh ooh ooh oooh! Ooh ooh ooh oooh! (yeah) Ooh ooh ooh oooh! Ooh ooh ooh oooh! (yeah) Ooh ooh ooh oooh! Ooh ooh ooh oooh! (yeah) Mmmh mmmh mh mh! Ha ha ha ha ha! Aaah! Twende baby baby babe Mmmmmmh Hey hey Yoh yoh Tanzania (yeah) (ooh ooh eeh eeh) D tyming (aah aah) Eh yooo kisaka Ndo dawa yao mzazi (mosha records right here) Papa rapapa parara rara rara raa Makavu live Dullayo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out