Lyrics

Eh-eh, eh-eh, eh-eh, iye (faster) Oh, oh-whoa (Moe Gangsta) Nilipe nisepe, nilipe nisepe Nilipe nisepe, nilipe Uliniahidi baada ya wiki mbili, sasa yapita miezi mitano Pesa zangu ni zaidi ya laki mbili, hujanirudishia hata senti tano Sitaki kuamini we tapeli ila upo nje ya makubaliano Kama huna useme mi' nijue nafanyaje Unataka tusielewane Kizimbani tufikishane Eti sababu ya money Wakati mi' na wewe na majirani Unataka tusielewane Kizimbani tufikishane Eti sababu ya money Wakati mi' na wewe na majirani Nikusema unanikimbia? Ama Nini unafikilia jamaa? Baada ya kukusaidia Wakati watu wanategemewa Nikusema unanikimbia? Ama Nini unafikilia jamaa? Baada ya kukusaidia Wakati watu wanategemewa Wewe, wewe, we' eh, iye (faster) We' eh, iye (faster), nilipe Ukitaka kuwa mbaya dai chako Umejenga uadui kati yangu mi' na ndugu zako Ukitaka kuwa mbaya dai chako Umejenga uadui kati yangu na rafiki zako Wakati unataka msaada Tuliandikishiana shahidi mwenyekiti Hivi sasa ukiniona unanikwepa Unasepa ina maana hunilipi? Unataka tusielewane (faster) Kizimbani tufikishane (faster) Eti sababu ya money (faster) Wakati mi' na we ni majirani Tuseme unanikimbia? Ama Nini unafikilia jamaa? Aah (oh, oh whoa) Nikusema unanikimbia? Ama Nini unafikilia jamaa? Baada ya kukusaidia Wakati watu wanategemewa Nikusema unanikimbia? Ama Nini unafikilia jamaa? Baada ya kukusaidia Wakati watu wanategemewa Ubinadamu kazi (kazi) Bora umfadhili mbuzi (mbuzi) Utamla mchuzi Binadamu ana mauzi Ubinadamu kazi wewe (wewe) Bora umfadhili mbuzi yeye (yeye) Utamla mchuzi Binadamu ana mauzi Tuseme unanikimbia? Mbona Simu unanizimia jamaa? Nilipe nisepe faster Nilipe nisepe (faster) Nilipe nisepe (faster) Nilipe nisepe (faster) Nilipe nisepe faster Nilipe nisepe (faster) Nilipe nisepe (faster) Nilipe nisepe (faster) Nilipe nisepe faster
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out