Lyrics

Vile unavyo fanya mbna mm sikuelewi... Yale unayofanya baby mm sikuelewi Wengi walikuja waliniumiza wakautesa moyo wangu wakaniacha ivivi. Nawe umekuja kama umeshindwaga na unaniache ivi ivi Baby don brake ma heart X3 ohh noo Nananana
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out