Lyrics

Hummmm... Hummmm mmmh Ni vipi naweza kunogesha Furahisha na pendo likolee Nieleza kitu gani sijafanya au nafanya nakosea Niwapi nitashika Ukaridhika Burudika na pendo liendelee Maana imekuwa nongwa kisa Rika unambia Swezi mengineee Mapenzi ya upepo Ona bendara mama we Mwenzako moto Hauzimi! Hauzimi! Mwenzako moto Hauzimi! Basi slow tempo! Namaliza sabuni Mwenzako moto hauzimi, Hauzimi Mwenzako moto Hauzimi! Mwanzo ulisemaaaa Nakuchenguaaa Unanimiss hata kidogo Upotezi dakika wala masaa Na ukasemaaaa... Me ntateuaa Na tena kwenye mechi nakiwasha Mi samata na shanga nazikataaa Mapenzi ya upepo Ona bendera mama wee Mwenzako moto hauzimi, Hauzimi Mwenzako moto Hauzimi Basi slow tempo Namaliza sabuni Mwenzako moto, hauzimi hauzimi Mwenzako moto Hauzimi Mamii umezima data Mwenzako mtandao usje ukataa Bila wewe siwezi Mapenzi na ukija Kuniacha Utaniachia utata Jirudi kama zamani Penzi liwe shatashata Kuliko kunifanya kambumbu mwenyewe Ukaniacha wengine ukafata Ooh baby why Ayaaaya ayaaya ayaaya ayaaya Ooh baby why Ayaaaya ayaaya ayaaya Mapenzi ya upepo Ona bendera mama wee Mwenzako moto hauzimi, Hauzimi Mwenzako moto Hauzimi Basi slow tempo Namaliza Sabuni Mwenzako moto, hauzimi, hauzimi Mwenzako moto Hauzimi
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out