Lyrics

Baby ooh baby ooh Ongeza sauti ya redio Mwenzio mwenzio Nataka nikiangushe kilio Hata ukiplay sikinde Sabufa lazima lishinde Kiuno na mgongo nkipinde Nakupa kisima kichimbe Nifanye moyo uridhike Mpaka jasho litiririke Hujaniita jina niitike Wajibu wako uwajibike Siwezi kukimbiza mwizi Bila kupiga kelele Gari ikifika na ndizi Nishushe nichume tembele Uridhike moyo uridhike moyo baba Uridhike moyo uridhike moyo baba Uridhike moyo uridhike moyo baba Uridhike moyo uridhike moyo baba Aaaah iiiiih moyo wanguu Umenikaa kichwani mwilini umetapakaa Penzi lavunja mizani tani kumi gari ya mkaa Wapinge wapinge wenye maneno yakuchokonoa Wasije wasije ngoma ya penzi wakaitoboa Nimezidiwa nimezidiwa Nilisombwa penzi maradhi natibiwa Makoko matandu chapoko kisamvu My toto my wangu sikuibe vishanduu Uridhike moyo uridhike moyo baba Uridhike moyo uridhike moyo baba Uridhike moyo uridhike moyo baba Uridhike moyo uridhike moyo baba Uliposhika pabaya mwenzako naona haya Umegusanisha nyaya umenilipua fire huna baya
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out