Lyrics

Kabla sijaswitch life na kupindua meza kipindi nauza mtumba Na nguo kariakoo magereza Yaani kipindi sina good life Hukuwahi kunibeza Eeeh ulinambia nitafute Sana pesa kama vile mimi Ndo nimepoteza Chumba kimoja cha kupanga Kuna doti moja tu ya kanga Kuna kipindi nilisanda Mpaka nikatamani Nikupeleke kudanga Baby Maisha tuliyoishi Tusingetoboa bila ubishi Nlivyohustle sikufichi Ata nikinunua ugomvi Nilikuwa nadai risiti Tumetoboa Tumetoboa Tumetoboa kwao Tumetoboa Amini kwamba Tumetoboa Tumetoboa Tumetoboa Tumetoboa kwao Tumetoboa Amini kwamba Tumetoboa Sikuachi mpaka milele Mungu ametuona leo Tuna mapene piga kazi Weee songa mbele Mungu Ametuona leo zamu ya Mi na weee Najua haya maisha bila mwiko Huwezi ukasonga mbele Hata kama hupendi watu Lazima utafute mchele Waliotusema vibaya Wanatuonea gere Sisi tunafuga ng'ombe wao wanafuga Nnywele Baby kipindi sina pesa uliposikia Njaa uliziba masikio leo nimepata pesa nianze kukukataa staki laana kama hiyo Ukitaja watu wasiocheat Me na we tumebakia Haupendi pombe lakini una mguu wa bia Embu sema unachotaka mi ntakufanyia Hata usipoona siku zako mi ntakutafutia Tumetoboa Tumetoboa Tumetoboa kwao Tumetoboa Amini kwamba Tumetoboa Tumetoboa Tumetoboa Tumetoboa kwao Tumetoboa Amini kwamba Tumetoboa Sikuachi mpaka milele Mungu ametuona leo Tuna mapene piga kazi Weee songa mbele Mungu Ametuona leo zamu ya Mi na weee
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out