Music Video

Stamina Shorwebwenzi Ft. Bushoke - Machozi (Official Audio)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Stamina Shorwebwenzi
Stamina Shorwebwenzi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bonventure Kabogo
Bonventure Kabogo
Songwriter

Lyrics

(SMG) (Paradise Music) Oy, niaje mwamba samahani nakusumbua Naomba usikate simu taratibu utanijua Nampigia mke wangu naona hapokei simu Ila najua umelala nae, sorry na kukata stimu Na unanijua, na unajua si' ni wazazi Naumia kuona wanangu wanalala na dada wa kazi Na usiulize namba yako nimeitoa wapi Naomba u'siki'ze mi' ni mmewe wa ndoa na sio mchati Kwanza nikupe pongezi, we' mjasiri! Mi' kulala na mke wa mtu siwezi Unapata nguvu ipi kujipa hayo mamlaka Angali mume wake yu' hai hajafa hajampa talaka Halafu nas'kia una-sound umechoka sana Na mshamaliza round ya kwanza au sio mwana Wakati mimi nalalia mito We una-enjoy tu, unamkunja kama kiko Vipi mtamu eh!? Kanona eh!? Nagharamika bro, sijui kama unanisoma, aisee Najua unampenda sababu unamhudumia Ukitaka nikuachie bro uone jinsi nnavyoumia Kama kidume cha mbegu kesho nikuletee watoto uwalee Na mke wangu unipunguzie msoto Inaniuma nimehudumia nimempa thamani zamani Nakuhakikishia ungemwona usingemtamani Kama anasema ndoa imekuwa, dah! Changamoto Au anasema tumeachana nimebaki nnalea watoto Sorry, salio linakata nnaweka vocha nakupigia Ili unipe simu niongee na huyo mshenzi wa tabia Kama binadamu n'na moyo sio chuma, naumia Machozi yanitoka nashindwa vumilia Natamani niondoke hata kwenye hii dunia Maana heshima yangu we' umeshindwa nitunzia Unaniumiza moyo (eh) Akili yangu haisomi (eh) Umenishusha thamani (eh) Nadharaulika mtaani (eh) (Hello) Pole sana kwa uchovu Pole kwa kazi nzito ya kubeba pembe ya ndovu Najua ulipanga unidanganye boya lako Kuwa party iliisha late ukalala kwa shosti yako Kukuita malaya sitaweza Umenizalia watoto ila heshima unaipoteza Japo mambo unayofanya kiasherati, we sio smart Umesahau una familia au na watoto huwataki Okay tuseme sikuridhishi kitandani Je anayetoa kodi ya meza hapa nyumbani ni nani? Unadhani watoto watakula tu sex yetu Au nikikosa hela watalishwa na bwana yesu Zile make-up, kusuka, wanja, saluni Ungezipata wapi nisingekaza kisabuni? Hata kama sio handsome nilitimiza majukumu Sa' huyu atakupa nini zaidi ya kukulisha ndumu? Wazazi waliposema kuwa tukapime DNA Nilisema, "Wamezeeka hawa wazazi TZA" Sa'hivi naelewa kila nikiwacheki watoto, sura yangu Inakuja, inaondoka, changamoto Ukirudi nyumbani chukua kilicho chako Tena ikibidi nenda na watoto wako Nauonea huruma huo mfuko wako wa uzazi Ungekuwa mfuko wa kawaida ningeshaubebea viazi Kama binadamu n'na moyo sio chuma, naumia Machozi yanitoka nashindwa vumilia Natamani niondoke hata kwenye hii dunia Maana heshima yangu we' umeshindwa nitunzia Unaniumiza moyo (eh) Akili yangu haisomi (eh) Umenishusha thamani (eh) Nadharaulika mtaani (eh) Ah-a-ah (SMG)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out