Lyrics

Dunia inazama naiangalia Sina cha kufanya rohoni naumia Mawazo yangu ooh naangamia Uko wap Mungu wangu hunioni weh nalia Kumbe ulikua unasikia unaniangalia weweee Likapotea tumaini langu ila imani ikaingiaaaa Kumbe ulikua unasikia aaaahhhhh Na likapotea tumaini langu ila imani ikaingiaaaa Mungu waambie uliniona nlipokwomba uliskia na ukaitika Mungu waambie uliposema uaja wala hukukosea njia na ulifika Mungu waambieni wewe tu ni wewe tuuuu ooohh Mungu waambie ni wewe tu uliesababisha leo imefika Waambie kila siku ni zawadi Hakuna heshima inayozidi uhaii Ni neema na rehema wewe na hekima wazitimiza ahadi (Waambie) hawapaswi kukata tamaa Sababu daima haupo mbali Ukipotea mwanga Gizani ndo nyota una mwanga mkali (Waambie) wasiache tumaini ndo imani Wasiache kukuamini ndo amani Mungu waambie uliniona nlipokwomba uliskia na ukaitika Mungu waambie uliposema uaja wala hukukosea njia na ulifika Mungu waambieni wewe tu ni wewe tuuuu ooohh Mungu waambie ni wewe tu uliesababisha leo imefika Mungu waambie uliniona nlipokwomba uliskia na ukaitika Mungu waambie uliposema uaja wala hukukosea njia na ulifika Mungu waambieni wewe tu ni wewe tuuuu ooohh Mungu waambie ni wewe tu uliesababisha leo imefika End.
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out