Lyrics

Ahsante baba leo ni siku nyingine Naomba mkate mwingine Ni kwa baraka tuu, ni kwa baraka tuu, ni kwa baraka tuu Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yakee Mungu nijalie na mimi nipate mkatee! Muda niliopoteza hawawezi kufidia Gharama za maumivu hawawezi kufidiaa! (eeh) Dar es salaam bila kingkong is not true Dar es salaam bila chuma we back mikono juu Kingkong chuma ilala mabegani Kazi najiituma sauti ya duniani Ndo mimi pekee mnajua mwingine ni nani Niko pale nimeshika namba yangu one Mateso ya dunia nishapita, nishaumia wengi wamenipania ila nipo kwenye njia Nakimbiza mchakamchaka na sichoki siogopi mungu amenipa nyota wengine wanacopy Nishapita shida nyingi, msoto chakalaa Nishapoteza shilingi, msoto majalaa Mama ndo pekee anaejua na machozi yanatoka Namwambia usijali mwanao ntatoka Marafiki walipotea na wakaongea Wanafiki walisogea na wakachekelea
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out