Lyrics

Kama mapenzi wanasema niwawili mama Maneneno yasije fanya tukaachana Naomba niamini nakupenda sana ooohh ee ooo Aree we sema unapokwenda mi nitakwenda mama Kama ukiwa mbele me nipo nyuma mama Tuende wapi jua baba na mama ooohh wee oo Mapenzi si kama zamani kuniliwaza tu chumbani aah ah Kesho maneno mtaanii yiiyii yiiiyii eh eh Mapenzi ni wew na mie si unanipenda Darling Tufunge na ndoa za maisha honey honey ee Namuomba mollah akutunze kama neno zuri la imani Yaarabi mollah akulinde mama, mamawe nakuthamin Naomba mola akutunze maana we ni wangu wa thaman Yaarab mollah akulinde mama maana Yo ma number one wee my one and only nakupenda baeby yo my number one my one and only ee nakupenda baeby ukweli me nakupenda wew nakutaka wew nakupenda baeeby2 Asamualeykum mama we me nataka nkuoe nkikupata i get pay pay 2 Kwenye mapenz kama we hajatokeaga joh bila we nivip me ntalalaga naomba niamin nayosema mama ooh weooo I say without you girl i go cry cry cry you go make me die die die yo love nt a lie lie lie yo go make me touch the sky sky sky make me so fly fly fly yo love not a lie lie lie Namuomba mollah akutunze maana we ni wangu wa thaman yaarab mollah akutunze maan yo my number one my one and only nakupenda baeeby2 Ukweli me nakupenda wew nakutaka wew nakupenda baeeby2
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out