Lyrics

Sote Tumshukuru Kwa Yote Aaaaaaah Aaaaaaaah aaaah Kwa pamoja tutazame hapa tulipo Pana tuonyesha picha ya mbali huko tuendako mpenzi Mengi utasikia yakisemwa usiyaweke moyoni kuteleza inatokea mambo ya ndani usiyaweke hadharani Kama ndege juu turuke angani wote Unishike nikushike ili tuwe wote mpenzi Mvua ikinyesha iwe baraka ya penzi letu lolote likitokea basi tuanguke na tufe wote Wengine amani tuliyoonayo kidogo wanaiota hawana tena pengine pesa si tatizo vipigo kati yao upendo hakuna Heri yetu sisi Tushukuru kwa yote(tushukuru kwa yote) Tushukuru kwa yote kipenzi changu Tushukuru kwa yote Asiyenipenda hakupendi hata siku moja Siku tunaacha ndo wanachomoza Asiyenipenda hakupendi hata siku moja Siku tunaachana ndo wanachomoza Juzi nilikosea nikakukuta unalia machozi nikipokuomba radhi ukaelewa samahani ikaokoa penzi Wengine amani tuliyoonayo kidogo wanaiota hawana tena pengine pesa si tatizo vipigo kati yao upendo hakuna Heri yetu sisi Tushukuru kwa yote(tushukuru kwa yote) Tushukuru kwa yote kipenzi changu Tushukuru kwa yote
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out