Lyrics

Cwez kuishi bila upendo wako ulivyoniteka Naomba nihifadhi kwa mikono yako(nicje anguka) Nmezunguka kutwa nzima, kama ww cjamuona Napigwa vita kutwa nzima, lakini bado napigana Wapo waliotaka nkuache Na kusema ctafka popote Ndipo waknifanya niongeze juhud nyingi Mpaka cku niwe wako Cjali umenitesa mara ngap Au nimelia mara ngap Nia yangu ni moja Cku moja tuwe wote pamoja Cjasahau cku wa manane ule (ulivyonika) Mbele ya nduguzo na bwana ako yule (ukanitukana) Kwa mapenz nilcmama Kama chizi nlionekana Leo wa kusema hakuna Najua wapi nnakupenda Wapo waliotaka nkuache, wakasema hatutafka popote, Ndipo wakanifanya niongeze juhud mpk mwsho niwe wako Cjali umenitesa mara ngap Au nmelia mara ngap Nia yangu ni moja Cku moja tuwe wote pamoja Penzi liendeleee Lisifike mwishoo Tuwe wote milele Tushinde vikwazo Wapo oooh (Wapoooo oooh) Repeat chorus.
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out