Lyrics

Ahhhhhh gautier mascot Bana balie ndonge ba boulé mpakasa Apocalypse yako wapi mapenzi wouwooo Uliani.ahidi kuwa utakua wangu wa maisha daima badili mawazooo yako Bella wo wo woooh acha nikupendeee Abdul Karim joshua limited en direct naturel merci Yako wapi mapenzi china wa china oyo olakaki ngai ndama Mutotooo kuwa utakua wangu wa maisha daima badili mawazooo yako Bella wo wo wohh acha nikupendeee ohhhhoohh Omari kimbau ali star abduli tole omari tole Ata nikilialia machungu hayaishi moyoni Umeondoka sijui ulipo nimekunywa bia ili nisahau Kumbe nimezidisha mawazooo kwa nini umetawala Moyo wangu nikupende sana Kama mutoto anavyo mupenda mama yake ndama mutoto wa n'gombe Abduli tole omari tole Nisipo kuona wewe nakosa raha Usingizi wa kitandani sipati tena Ya kwenye kiti njoo ilikua na faida Na espoir namona ata yo bébé Ndama argan yesu apocalypse bella Enriga bagaile mwana mageni hakuna mwengine Wewe ulisema baba Mapenzi yetu ni kama aaah Suruwali na mukanda apocalypse bella Namipakoli ba soucies ngai mwana bato kutu nakanaki te mon bébé Gautier mascot bonjours comment tu vas Mawa lokola mbuma oyo moto nyoso akanaka te kolia Mais ekotaka na monoko ya moto ata na makasi Ndenge osali nga different ya moto oyo afingi nzambe alala mbonze moke ba leli eh Mmmmmmmhh Péchaud méchant imbwa Hana mpinzani en direct Kizaizai super tole Ukisikia nimekufa usiweke msiba Ila sherekea kwa sababu una roho mbaya We mubaya ahh Kosa gani lisilo samehewa Jifunze kusamehe itakusaidia maishani (Eh mama wa magari mère Saddam ya JC kashinde) Marafiki wawili wawili na wapenzi wao umeniacha mpweke Baridi ehh baridi ehh baridi ehh ×2 Ndama P.D.G (pedeshe) Young millionaire muzamiri Abdul Karim Joshua limited Ukisikia nimekufa usiweke msiba Ila sherekea kwa sababu una roho mbaya Wewe roho ngumu hh Kosa gani lisilo samehewa Jifunze kusamehe itakusaidia maishani Ohh ohh maisha christian bella Marafiki wawili wawili na wapenzi wao umeniacha mpweke Baridi ehh baridi ehh baridi ehh ×2 Bella apocalypse Wowowo ma apocalypse Salanga nga ahh aah mon amour Nzoto elengi sala ngo kutu na défaute Suka ti nayoka Patrick ehh vuyendi Niache nililie Jean Pierre argan yesu Aliniahidi mapenzi apocalypse bella Sasa miaka mitano acha rudi Ata simu ya bure oh oh oh sijapata Obosani ke ngai nalingaka na ngai te bolingo ya ba delestage Oyo akei lelo tomona lobi tomona ye nde mabe oh Ngai nabeleli maman oh oh oh ma hohhhh Maman oh ohh wowololo yah Ukisikia nimekufa usiweke msiba Ila sherekea kwa sababu una roho mbaya We mubaya ahh Kosa gani lisilo samehewa Jifunze kusamehe itakusaidia maishani Oh maishani oky ya teme Marafiki wawili wawili na wapenzi wao umeniacha mpweke Baridi ehh baridi ehh baridi ehh ×2 Bella apocalypse AH Esthétique mubunga cédric na belgique Chantal sabe la taille na paris Shika ale shika shika shika shika shika Alain cynthé mapigo Eh eh eh eh Shika shika shika shika shika shika En direct naturel
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out