Lyrics

Ayayele Ayayele Ayayele Christian Bella king of the best melodies Na Malaika Music Band Sio makosa yetu, makosa labda ya kazi C nine and one Tuende kazi (mmh) Ameondokaa... huku nyuma hali yangu sio shwari Aliniahidii... hata chelewa atarudi Ameenda kidogo nyumbani kusalimia wazazi Imepita sasa miezi mitatu sijui yuko wapi? Kumbe hata kwa wazazi wake hajafika kabisa aaayeyeye Chuki Shaban mzee wa Tabata Yusufe Kitumbo Maee najiuliza sana kosa langu ni nini? Kabadilisha mpaka namba Nikipiga simu yake simpati kabisaa Si bora angeniambia Hata magoti ningepiga Hata msamaha ningemuomba Tumalize matatizo Kula, kulala siwezi Namuwaza mpenzi wangu mtoto mzuri Nampenda sanaaa Muambieni nampenda Arudi, bila yeye, mimi siwezi Abdul Tole tajiri mmbishi, Steve Nyerere () Uko wapi mpenzi wangu nakuhitaji Popote we ulipo, ujue bado nakupenda Uko wapi mpenzi wangu nakuhitaji Popote we ulipo, ujue bado nakupenda (Jipilonyhe) Jua nakupendanga bhana kudanganya mupenzi (kiongozi wamasauti ...) Kwa mapenzi ni kama mayai (Jipilonyhe) Usipo shikilia vizuri inaweza kuanguka Wewe ni maua yangu Nakupenda ndani ya Moyo Wewe ni maua yangu Nakupenda ndani ya Moyo Let's go Usiende baby aah Usiende eeeh aah Rudi naumia aaaaah ndani ya Moyo wangu Maumivu yangu nipelekee nani?(niko Bella) Kwa wazazi wake, hata hajafika Marafiki zake wananidanganya Nimekukosea nini baby, please baby eeh mmh Aah! Nakapenda, nakupenda, nakupenda baby Nilitafuta mapenzi lewo nimepatikana (jack chein) nilitafuta pote leo nimepataa mapenz yangu(imbaa) awe mapenzi yangu we eeeh nilifikia jina la F lakin sikuoniiii nilifikia jina la F lakini sikuoniii saa nyingine ni wewe baby eeeh ngenishike kitovu mamaa aah nimebaki mpweke baby wang upo wap(bety mauzo) rudi eeh mama watoto wangu wa kufa na kuzikana ruudi iii iiiiiii(we.!) wengi walisema baby utakuwa mudoli wangu wa kupotezeaga mawazo wengi walisema amina utakuwa kipenzi changu(hasan cheso) kwanini unaniacha nilielieeee ijapo kwamba penzi ni kitu kweli chaumiza christian bella obamaa eeh eeh eeh eeeh christian nzimbi baba na tutyy (chorous) nilitafutaaa kila kona sijamuona wengine wanasema ameshapata mwingine siamina kama ni kwel anaweza kufanya hivyoo kama ni kweliiiii(najutaaa) kupendaaa(najutaaa) kama ni kwelii(najutaaa) kupendaa(najutaa) wahenga walisema asiyekupenga achananae ulikuja kwangu nikakupenda kwa moyo wote kama ni kweliiii(najutaaaa) ushapata mwinginee(najutaaa) najuta kupendaaa siri zangu naomba ulindeee maaaama aah shida na raha tulizopitia kumbukaaa aaaah mamaaaaa niite basi mieeeee (chorous) ayeeeeee ayeeeeee ayeeeeee tutacheza mutwashy koko ngyemba bellemondo zulu sana biloko wana biloko wana ya paleee hahahaha endrew segedia papa na mimiyyy zee ya kinanda kadogooo machine zingoloooo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out