Lyrics

Sijajua kumbe we ni musaliti Umezoea kuonja onja kwa kila mutu Eti kisa wewe ni mwanamuke muzuri sana Hutaki kutulia Ulisema hakuna mwingine zaidi yangu Ya mimi na wewe ya kufa na kuzikana Maneno yako matamu sana kama sukari Kumbe ni sumu Uzuri ya mwanamuke sio urembo Mwanamuke ni tabia wahenga walishasema Umenichanganya changanya mpaka na marafiki zangu Tabia gani Kumbe unatamani mpaka wandugu zangu (makubwa) Eti unataka mpaka bouncer wangu Niambie nini sijakufanyia (uweke chini) Pesa mavazi mpaka magari Sijajua kumbe we ni musaliti Umezoea kuonja onja kwa kila mutu Eti kisa wewe ni mwanamuke muzuri sana Hutaki kutulia Uzuri ya mwanamuke sio urembo Mwanamuke ni tabia wahenga walishasema Umenichanganya changanya mpaka na marafiki zangu Tabia gani Nenda zako, ckutaki tena Ametoka nymbani kavaa baibui, Akifika mtaani ana kimini, hataki kabisa kutulia Mi nasema nenda zako, mi sikutaki tena Apokabe yee ye Mi simutaki tena ah kweli Mimi sikutaki tena Mery Bela Beti mazengo oh eh Pastor kikwale papu lami Christian Bella Police katundu yeeeeh Huyu mwanamuke kweli kanipotezea muda Mapema ningejua mimi nisingethubutu Nilimpenda kweli kutoka moyoni Kumbe anafikiria ananitumia Eti kisa yeye muzuri Anajifanya anajua kumbe anaungua jua Saloma oh Ester Bella Aaeeeeh Jan piere aka esu ndama mutoto wa ng'ombe Rodriqe quesoka er queso Confereso eh ehh Anga este eh mapigo Chimyo itema Ngesewa Ngese muzee wa kokoto Gekatokose mukoko papa na isa Ashime mazengo papa ema Ada na cheda ah ah Hapo sasa hapo sasa Eku binda Eku binda nkoi Eto bina Eto bina Tuondoe stress Njoo tucheze Tuondoe stress Huyo mwanamuke huyo mke (simutaki tena) Ameshasepa Sasa napata kucheza Kiuno Nakucheza Kiuno Simutaki tena Ah aende zake Hafai hafai Hafai Nenda zako Sikutaki tena Anatoka nyumbani kavaa baibui Akifika mitaani ana kimini Hataki kabisa kutulia Mi nasema nenda zako Mi sikutaki tena Mi nasema nenda zako Merci
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out