Lyrics

Ila mazoea Aaaaagh aaahh Oooooohuoh oooh Mi Simba dume na kwako mnyonge Kwako sijiwezi mpenzi nimekufa kioja Umenifunga funga kujinasua siweziiiii Umenifungia hirizi ya mapenzi kwako sitoki tenaa Aiyoooooohuoh Siku zinajongea aaah Masaa yanakimbia kuwania, mbingu yasubilia yetu ndoa Mi naweee Ila penzi lanionea aaaaah Kwako mnyonge mithili ya njiwa ah Ila tavumilia japo moyo unaumia Imani yetu moja najua Wivuu tuu wanisumbua Uuuuuuuh mepambwa kwa maua.wew Imani yetu moja najua Wivuu tuu wanisumbua Uuuuuuuh mepambwa kwa maua.wewee! Ila mazoea Nawanaume nahofia Japo mi ndo kidume kwako naumia Mi Simba dume na kwako mnyonge Oooooohuoh mazoea Nawanaume nahofia Japo mi ndo kidume kwako naumia Mi Simba dume na kwako mnyonge Hiki kidudu mapenzi Kishanitafuna sijiweziii Kukukosa bora kitanzii Hukumu yako naingojea Nipe amani kipenzi Mapenzi ya hofu siyawezi Vyengine vipanya road Roho yangu naihofia aaah Usiudonyoe moyo (donyo donyo) Nitaja kufa kihoro (onyo) Usinipe mifupa kibogoyo (oyo Oyo) Usiudonyoe moyo (donyo donyo) Nitaja kufa kihoro (onyo) Usinipe mifupa kibogoyo (oyo Oyo) Imani yetu moja najua Wivuu tuu wanisumbua Uuuuuuuh mepambwa kwa maua.wewee! Imani yetu moja najua Wivuu tuu wanisumbua Uuuuuuuh mepambwa kwa maua.wewee! Ila mazoea Nawanaume nahofia Japo mi ndo kidume kwako naumia Mi Simba dume na kwako mnyonge Oooooohuoh mazoea Nawanaume nahofia Japo mi ndo kidume kwako naumia Mi Simba dume na kwako mnyonge Ila mazoea Nawanaume nahofia Japo mi ndo kidume kwako naumia Mi Simba dume na kwako mnyonge Usiudonyoe moyo Oyo yoh Nitaja kufa kihoro Oyo yoh Usinipe mifupa kibogoyo Oyo yoh Mwenzako mi nnakasoro Usiudonyoe moyo Nitaja kufa kihoro Usinipe mifupa kibogoyo Mwenzako mi nnakasoro
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out