Lyrics

combination sounds Bora nilale nje kuliko humu ndani mi sitoweza maelewano hakuna ukinikosea wataka kubembelezwa Hivi humu ndani mume nan Ukinikosea huombi samahani hivi kwan w n mke gani kazi kiburi tu na kisirani Kwanza nimechoka sana na zako kelele mi nalala bwana maana unaongea sana kila siku huishi lawama Ina maana ninanyoongea hayana mana haya ndo matatizo yako mama au mwenzangu umeshapata kabwana wenda ndio kanakuchanganya Umebadilika sana aaaaaa Tofauti na nyuma aaaaaa ×2 Hivi we mwanaume unanini Leo umeamka na mimi Maneno maneno ya nini au unataka visa na mimi iiiii Na nitaondoka kelele kelele nachoka Usinione mi lofa nakuangalia tu Mimi sipigi kelele nakurekebisha ueleww kosa lako ww unapaswa unisikilizeeeee Mimi si wakula vibandani kama hela mi siachi hapa nyumbani Hivi kwani we ni mke gani usiejua kunitunza mme ndani Mbona yako mi siyaongei nayoyasikia hukooo Au unaona hunikosehi badili mwendo wakoooo siku ngapi hujalala nyumbani unasingizia kazini waniacha na watoto nyumbani kumbe unalala jiraniiii anhaaa Ukweli naujua mimi wala sio wewe hayo mambo kakwambia nani usiyasikilize kumbuka tulihapa kwa mananii utakuwa wangu tu na mambo unayoyafanya hayafanani nakwambia mume wangu Maumivu ya Penzi hayawezi kupoa kama mwiba unavokuchoma siwezi kukuacha we ndo mboni yangu unaelifanya jicho kuona Na nitaondoka kelele kelele nachoka Usinione mi lofa nakuvumilia tu umebadilika sanaaaaa Tofauti na nyumaaaaa×2 Mi naondoka usiondokee Nimechokaaaaa usichokeeeeeee Mi naondoka usiondokee we vumilia sitorudia
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out