Lyrics

Mwaaah Mwaaah Mwaaah Baby mim na wew nganga usije ukaenda kwa mganga Dj ebu piga chalanga tuchezeeee Wanauliza maswaliii tuwajibu kwa vitendo Waambiee wajue me kwako nishatia nangaa Fumba macho usije danga Ukaniumiza roho Nikila korosho kula karanga uzimeze ooh Usiniachee nitatanga tanga yatima oh Unioneshe alokufunza nyakanga kitandani joh Nimeona wengi Sana Wazuri sana ila kwako nimekwama sijateleza kukuchagua Nichochee nichochee Kama moto nichochee Kwatu roho yangu kwatu kua na wew Kwatu kwatu kwatu Roho yangu kwatu Roho yng kwatu kua na wew Kwatu kwatu kwatu roho yng Ukiwa mbali mwili wotee unapooza Nahisi kama nimekufa na tayari nishaoza Chai sukari mupenzii ebu kolezaa Usijee ukakurupuka ukaniacha kwa jeneza Familia yangu iko police inakutafuta wew Nasikia una bonge la kesi lakuniteka mie Oooh lololooh lakuniteka mie ee yeye aaah aaah Waambie wajue me kwako nisha tia nangaa Nimeona wengi sanaa wazurii sanaa ila Kwako nimekwama sijateleza kukuchagua Nichochee nichochee Kama moto nichochee Vunja mifupa kama meno ipo Kwatu roho yangu kwatu ooooh polic kua na wew nitapigwa na maandishi Utakuja kunipa kazi roho yng kwatu nikikukuta na watu roho yng kwatu Nkikushka kiuno nishike mabega Ayaah ayaah Utaponigusa kokote mwenzako nalegea ayaah ayaah mmmh baby umo umo Ulpo nshikia ayaah uking'olewa memo mwenzako navimba mdomo poa ayaah (Wambie wajue mwenzako nshatia nanga)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out