Lyrics

Upite salama babaa eeeh Sote sote tuwe salamaa babaa, oooh mwana mamaa Ufike salamaa eeeh, upite salamaa babaa Umalizike salama babaaa, oooh mwana mamaaa Tuombee mungu akina babaa na akina mamaa eeeh (eeeeh) Tuombee mungu akina kakaa na akina dadaa eeeh (eeeeh) Hata wapenzi wa nyimbo zetu, babaa Wapenzi wa burudani eeeh mwana mmaa Tuwe salama salimini eeeh Tuwe salama eeeh, salama mwana mamaa Kuna wangine sasa wako hospitali Kuna wangine tena wameshakufa Kuna wengine wako kifungoni Waliobaki oooh baba yooh Waliobaki, saidia masikini babaa oooh Saidia masikini babaa eeeh Eeeh mwana mamaa Kuna wangine sasa wako hospitali Kuna wangine tena wameshakufa Kuna wangine tena wako kifungoni Waliobaki oooh baba eeeh Waliobakiii, saidia masikini babaa oooh Saidia masikini babaa eeeh Oooh mwana mamaa Na wewe ulie mzima, shukuru mungu Kifo cha sasa, kama maji Yatokapo, yaendapo hayajulikani oooh Mwana mamaa oooh Tuombe mungu daima, mamaa Miaka yaenda mbio mwana mamaa Siku zaenda mbio twende wapi? Miaka yaenda mbio mamaa Siku zaenda mbio mwana mamaa Miaka yaenda mbio mamaa Siku zaenda mbio mwana mamaa Usile kumaliza mwana mamaa Kwani kesho kutwa, sikukuu (sikukuu) Miaka yaenda mbio mamaa Siku zaenda mbio mwana mamaa Miaka yaenda mbio mamaa Siku zaenda mbio mwana mamaa Usile ya kumaliza mwana babaa Weka kidogo ya sikukuu (ya sikukuu) Miaka yaenda mbio mamaa Siku zaenda mbio mwana mamaa Miaka yaenda mbio mamaa Siku zaenda mbio mwana mamaa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out