Lyrics

Tongo Records Binladen Ah, kwanza naomba ukaechini Alafu uvute pumzi Nna vitu vya kuongea, ambavyo unajua vita kuudhi Ivi unajua nimekuvumilia sana Angekuwa mtoto mwingine tayari ungeishampa laana Najiuliza sijui nikuseme na kipi baba Najuiliza sijui nianze na lipi labda Mama anasema, mwanzo mimba uliikataa Kwani sasa hukutoa, ukaruhusu mpaka akazaa? Alafu, hivi auzijui kinga? Au hukujua peku peku kama italeta mimba Uchi wako wa kijinga ndo sa'ivi unanitesa Usinge mrubuni mama labda angemuoa barkhersa Dah! Unanipata kiwewe, au manesi walichanganya Baba angu hakuwa ni wewe! Kama unataka kunipiga, leo yote sawa Au nikuchumie fimbo unichape kisawa sawa Hata kama ni mzazi Saa zingine nawaza nikuchukie Sema tu we ni mzazi Acha ukweli wako nikuambieee Daddeeey olaaa! Naongea na weweee e Daddeeeeey Naongea na wewe naongea na wewe! Ile hela ya kuonga ungeitoa ka sadaka Mungu ange kubariki ungenizaa kasadaka Ukajichanganya Kaisari ukampa isiaka Alafu mbele ya yesu petro ukampa mamlaka Mbona mzee mushi, namuona na hela Mzee mwakalinga, mwenzie anahela Mzee lutashobwa ndo kabisa ana mielea Wewe ulikuwa wapi mpaka unakofa kabwela Nikuulize, ukifa nitarithi nini, labda jina laukoo Alafu linisaidie nini? Utajiri hivi hukuuona kwanini Maana pombe unazo kunywa, siwezi rithi hadi maini Umeshindwa hata kununua kiwanja?! Ona mpaka leo tupo nyumba za kupanga Elimu sikuizi nibure, ila cha ajabu umeshindwa hata kunipeleka shule! Inauma sana, ila acha tu nikuulize Inama ujana wako umeshindwa kuwa bize? Nikiendelea kuongea naona kama nitakufuru Nimemaliza, nakuombea kwa mungu akupe nuru! Hata kama ni mzazi Saa zingine nawaza nikuchukie Sema tu we ni mzazi Acha ukweli wako nikuambieee Daddeeey! Naongea na weweee e Daddeeeeey Naongea na wewe naongea na wewe! Mwanangu nimekusikia nakuombea kua uyaone Nilijua umekuja kwangu kuniombea ili nipone Kumbe umekuja kwa shari, kunilaumu, nakuniukumu Inaonyesha ningesinzia ungeninywesha hata sumu! Baada ya ujauzito wako tulipima na mama ako D.N.A ilionyesha kuwa mimi sio damu yako Ukisikia ukuwbwa jalala, basi juwa dunia dumple Nikasimama kivie kupigania maisha yako Tena nilingoja ngoja ukuwe Nikajitoa kwa hali na mali ili usijue Nikafanya mambo mengi ya atari ili nikutunze Waka nisweka jela ili dunia inifunze Ukuaji wako, sidhani ulilishwa mila Nilipambana kilakona kuwa tafutia ngawila Niliuza mali zangu ilimradi wewe usome Leo unanipandishia kibezi, nyambazu tena unikome! Muone mtoto wa sobo, mwenzio ni rubani Mtoto wa sugu juzi kapa ud1 Mtoto wa bwile ndo doktari marekani Ebu toa bangi zako, aliekuambia usisome nani?! Hata kama ni mzazi Saa zingine nawaza nikuchukie Sema tu we ni mzazi Acha ukweli wako nikuambieee Daddeeey! Naongea na weweee e Daddeeeeey Naongea na wewe naongea na wewe! Hata kama ni mzazi Saa zingine nawaza nikuchukie Sema tu we ni mzazi Acha ukweli wako nikuambieee Daddeeey! Elimu sikuizi nibure, ila cha ajabu umeshindwa hata kunipeleka shule! Daddeeey! Ebu toa bangi zako, aliekuambia usisome nani?! Tongo Records Binladen
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out