Lyrics

Lele lelele Lele lelele eh Lele lelele Mocco Umepata mabinti lakini mi'napiga kama kush Limeshika ma boys wa Kampala wate ni kawa crash Jina langu ni Diana Nimekuona toka jana Sasa ka tunilikutana Kila kitu baby we're gonna (do) Upendo oh oh Upendo oh oh Upendo Sio magic Huu ni upendo oh oh Upendo oh oh Upendo oh oh Upendo Sio magic Huu ni upendo oh oh Mapenzi Mapenzi ih iih ih Yamenizidi kwa kichwa Nimwenzenu siwezi Mapenzi Mapenzi ih iih ih Yamenizidi kwa kichwa Tena siwe-eeh zi ih iih Akinipa karoti Na idadi ya Naikula kavu kavu Na misa hamba sort Uma nalia Alichangia paka nyavu To the left Kulia (kulia) Atakacho mie sawia (sawia) Kama kasheti vi bagia (bagia) Echa chanuoni mwagia ah yeah ooh Baby nkwagala nyo nkwagala nyo nkwagala nyo baby Mukwano nkulowozako nkulowozako nku oh ah yeah-oh baby Upendo oh ooh (ah yeah-oh maama) Upendo oh ooh (mimi umana) Upendo (oh oh oh ooh ooh) Sio magic Huu ni upendo (naona ah aah) Upendo oh ooh (ah yeah-oh maama) Upendo oh ooh (mimi umana) Upendo (oh oh oh ooh ooh) Sio magic Huu ni upendo (ah yeah sasa) Eh Ameni touch touch oh (amenigusaa gusa) Ya juu ya chini vya mnja vya katifia (Amenigusaa gusa) Ameni touch touch oh (amenigusaa gusa) Nkwata kwata onteke woyagala (Amenigusaa gusa) Yeah-yeah
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out