Lyrics

Imma Ze boi on da beat mbona naona nashindwa kuacha macho yapambane na hali yangu maana imani nayo inatakaa mawazo yanishinda kujenga choyo kuzuia nisihisi hisia zake majaribu nayo yananifata kuna vidudu vyenye mvua ndo nikuambie labda kuna nyakati natamani kujikuna mgongoni sifikii na baridi ikija mvua haisomagi radar ndo maana natamani kukuonaga tena nataka kuthubutu kukupa wazozuri nikikumbuka maumivu nafsi inasita mi kwanza sifuri bado najishuku kutengua kauli acha niweze nitafute kesho saa sita nipoje sijui sijielewi bado na bembea Sipo juu sipo chini nipo hewani (Nabembea) Kupenda natamani ila naogopa (Bado nabembea) ×2 Mwenzako silali kutwa napekua jumbe kwenye kimeo mchezo wa mapenzi kamariiiii nimeumbwa na dosariii kupumbazwa si shangai leo Japo nasifa hodariiii Nyama kama lainii ila kisu naona butu Nikiwaza figirisi mainii Nayawaza masupu supu Nataka kuthubutu kukupa wazo zuri nikikumbuka maumivu nafsi inasita mi kwanza sifuriiii Bado najishukuu kutengua kauli acha niwaze ntafute kesho saa sita nipoje sijui sijielewii Bado nabembea sipo juu sipo chini nipo hewani Nabembea kupenda natamani ila naogopa bado nabembea ×2
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out