Lyrics

Hivi kweli unakumbuka hata kujuta Kwa ulionifanyia? Moyoni uliguswa au ulipuuza Na hautaki nisikia? Hata kutuma ujumbe mfupi tu, my darling Unikosee wewe niombe msamaha mimi, yeah Nashindwa hata kusema ni moyo unaniuma Na pia uongo ni dhambi natamani urudi tena Wewe ndo my everything sitaki geuka nyuma Nataka kuwa nawe mamito Nataka kuwa nawe Ningesema nilipize woh Mabaya yako nikuumize Nawe uumie Ninachohisi ni kupenda kwenye moyo wangu Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako Ninachojua nakupenda kwenye moyo wangu mamaa Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako Ungenifikiria hata mara moja Japo hauna hisia nami Nidanganye hata kwa ngoja ngoja nitasubiri Ulikubali kwa moyo mmoja kuyajenga maisha nami Nieleze ni wapi nlipoteleza nisiumie Nashindwa hata kusema ni moyo unaniuma Na pia uongo ni dhambi natamani urudi tena Wewe ndo my everything sitaki geuka nyuma Nataka kuwa nawe mamito Nataka kuwa nawe Ningesema nilipize woh Mabaya yako nikuumize Nawe uumie Ninachohisi ni kupenda kwenye moyo wangu Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako Ninachojua nakupenda kwenye moyo wangu mamaa Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako Kama ningelipa unayontenda ungeshaumia Sitamani maumivu nayopata yaje kwako pia Namuachia Mola anilipie Anionyeshe fungu langu mie Ninachohisi ni kupenda kwenye moyo wangu Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako Ninachojua nakupenda kwenye moyo wangu mamaa Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako Moyo wangu Moyo wako (Ema The Boy on the beat)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out