Lyrics

Vipi mpenzi huoni mbali Kweli huwezi kwenda mbali, na mie Kweli mengi huletwa ndani Si halali kuyapokea yote unitupie Tutagombana kila siku mpenzi Tutaudhiana kila siku ndani Tutatishana kugawana mali Bila kumjua mchawi wetu nani (): Kama huwezi Kuwa mkweli Kamwe mpenzi mbele hatutofika mama Kama pesa, zipo za kututosha ma Kama huwezi Kuwa mkweli Kamwe mpenzi mbele hatutofika mama Kama pesa, zipo za kututosha ma (2: Rama Dee) Hizi lawama ziishie leo leo Isifikie wakwe wanivue vyeo Kwa gubu lako tu, mamii Lawama zako zisinitie uchizi Nibadili mipango yetu mingi Hatutagombana tukifata yetu Hatutaudhiana tukipanga yetu Hatutafikia kugawana mali, mimi na wee (): Kama huwezi Kuwa mkweli Kamwe mpenzi mbele hatutofika mama Kama pesa, zipo za kututosha ma Kama huwezi Kuwa mkweli Kamwe mpenzi mbele hatutofika mama Kama pesa, zipo za kututosha ma (Verse) Tutagombana kila siku mpenzi Tutaudhiana kila siku ndani Tutatishana kugawana mali Bila kumjua mchawi wetu nani Hatutagombana tukifata yetu Hatutaudhiana tukipanga yetu Hatutafikia kugawana mali Mimi na we (): Kama huwezi Kuwa mkweli Kamwe mpenzi mbele hatutofika mama Kama pesa, zipo za kututosha ma Kama huwezi Kuwa mkweli Kamwe mpenzi mbele hatutofika mama Kama pesa, zipo za kututosha ma Song written by Rama Dee
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out