Lyrics

Utaambiwa sina mapenzi Utaambiwa si mwaminifu mi Utaambiwa sio binadamu kwenye mapenzi Utaambiwa sina umuhimu kwako Stahili yangu si kuoa ni kucheat mademu si kweli mpenzi Utaambiwa sina mapenzii Ooh
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out