Lyrics

Yo Alex, Benachi Na Kaberere Sawa sawa Usione nimechakaa, unitilie dharau Mimi binadamu, uuuh umesahau Unaishi kwa dhamani, ninaishi kwa imani Mbele zako mimi sina haki Mbele zake mimi ni mwenye hadhi, iii Fahamu kuwa mola ndiye aliyeniumba mimi na wewe Fahamu kuwa mola ndiye aliyeniumba mimi na wewe, eh, eh Mi ni mwanake, usiku nitalala Mbele zake maulana, sote tuko sawa Mi ni mwanake, usiku nitalala (Usiku nitalala) Mbele zake maulana (mbele zake), sote tuko sawa Ulinipuuza mie, eti sifai kuwa nawe Uliniona mie, eti hatia kula nawe Sahani moja, tulipotiliwa chakula, ah, ah Nyumba moja, tulipofaa kuishi pamoja, Ah, Ah Wema wake, taji la upendo juu yangu Ndani yake vikubwa na uoga vyote hupewa kimya... Mi ni mwanake, usiku nitalala (Usiku nitalala) Mbele zake maulana, sote tuko sawa Mi ni mwanake, usiku nitalala (Usiku nitalala) Mbele zake maulana (mbele zake), sote tuko sawa Ulinipuuza mie, oh, oh, oh Sahani moja, oh, oh, oh Nyumba moja, oh, oh, oh Oh, oh, oh Mi ni mwanake (minimwake), usiku nitalala (Oh nitalala) Mbele zake maulana, sote tuko sawa Mi ni mwanake, usiku nitalala (Usiku nitalala) Mbele zake maulana (tupo sawa), sote tuko sawa Mi ni mwanake (ooh), usiku nitalala (Ooh) Mbele zake maulana, sote tuko sawa Mi ni mwanake (minimwanake), usiku nitalala (Ooh nitalala) Mbele zake maulana (tupo sawa), sote tuko sawa Usiku nitalala, mbele zake Mi ni mtoto wake, mi ni toto lake Usiku nitalala nitangorota Nitajifunika gubi gubi, nitangorota Sitaamka Sababu wewe haunipendi, nitalala sana Mimi mwanake, chako ni changu Oooh, sote tuko sawa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out