Lyrics

Nafungua kinywa changu, nikusifu Baba Umenitendea nimefika sasa hapa Wewe kweli ni rafiki, Unaniongoza ninapopotea Upendo wako niufananishe na nani baba Taabu nyingi kweli nilipitia Hadi nikajipata nikikushuku Sikujua mpango wako kwangu Baba Ulijua yote nikiyapitia Mkono wako ulikuwa umenishikilia nisianguke Wewe kimbilio langu Hakuna mwingine, ni wewe pekee yako Mbele hata nyuma, ni wewe pekee Hakuna mwingine, ni wewe pekee yako Mbele hata nyuma, ni wewe pekee Tafuta tafuta hutampata kama yeye Alinitoa toka tope la dhambi Kama sitaona haya ya kumsifu mungu wangu Siku zote nitamuimbia Baba Taabu nyingi kweli nilipitia Hadi nikajipata nikikushuku Sikujua mpango wako kwangu Baba Ulijua yote nikiyapitia Mkono wako ulikuwa umenishikilia nisianguke Wewe kimbilio langu Hakuna mwingine, ni wewe pekee yako Mbele hata nyuma, ni wewe pekee Hakuna mwingine, ni wewe pekee yako Mbele hata nyuma, ni wewe pekee Hakuna mwingine, ni wewe pekee yako Mbele hata nyuma, ni wewe pekee Hakuna mwingine, ni wewe pekee yako Mbele hata nyuma, ni wewe pekee
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out