Lyrics

Soma somasoma Kijana Masiku zazidi badilika Kijana Soma somasoma Kijana Masiku zazidi badilika Kijana Wazuri wazidi kuzaliwa Na dunia Nayo yazidi haribika Kijana Wazuri wazidi kuzaliwa Na dunia Nayo yazidi haribika Kijana Maisha ya TV Tutaishi sisi Wengi wanapotea Wengi wakata tamaa Twachuna riba vijana Juu ya vile tutang'aa Ajuaye Rabana Ndiye atuongoza Kijana Masiku zazidi badilika Kijana Soma somasoma Kijana Masiku zazidi badilika Kijana Soma somasoma Kijana Masiku zazidi badilika Kijana Wazuri wazidi kuzaliwa Na dunia Nayo yazidi haribika Kijana Wazuri wazidi kuzaliwa Na dunia Nayo yazidi haribika Kijana Soma somasoma kijana Masiku zazidi badilika Soma somasoma kijana Masiku zazidi badilika Wazuri wazidi kuzaliwa na dunia Nayo yazidi haribika Wazuri wazidi kuzaliwa na dunia Nayo yazidi haribika Soma...
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out